KUUTUNZA UWEPO WA MUNGU

KUUTUNZA UWEPO WA MUNGU 
 • JINSI YA KUUTUNZA
 1. KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU-YUDA1:20-21
 2. KUSOMA NENO LA MUNGU KILA SIKU-YOHANA6:63
 3. ENDELEA KUMPENDA MUNGU
 4. ENDELEA KUWA NA KIU YA KUTAWALIWA NA ROHOMTAKATIFU
 5. KUWA MTU WA KUMRUDISHIA MUNGU UTUKUFU WAKE
 6. KUWA MTU WA KUMSHUKURU MUNGU KATIKA KILA JAMBO
 7. UWE NA KIU YA KUMTUMIKIA MUNGU KWA NGUVU ZOTE
 8. PENDA KUMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU. 

KUOMBA SAWASAWA NA MAPENZI YA MUNGU

KUOMBA SAWASAWA NA MAPENZI YA MUNGU
 • 1YOHANA 5:14-15 & 1YOHANA 3:21-22
 • FAIDA YA KUOMBA SAWASAWA NA MAPENZI YA MUNGU
 1. MUNGU ANASIKIA MAOMBI YAKO
 2. MUNGU ANAKUMBUKA HAJA UIZOMWOMBA
 3. MUNGU ANAKUITA MWENYE HAKI
 4. UNAKUWA MTU WA KUTENDA MEMA MACHONI PA MUNGU
 5. UNAKUWA MTU WA UJASIRI WA KUDAI HAKI ZAKO
 6. TUNAKUWA WATU WA MIOYO MIKUU
 • MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUOMBA
 1. TUNAPOOMBA TUWE NA UJASIRI KWA MUNGU
 2. TUWE NA HAJA UNAZOMWOMBA
 3. MIOYO YETU ISITUHUKUMU
 4. TUZISHIKE AMRI ZA MUNGU
 5. TUDENDE MAMBO MACHONI PA MUNGU YAMPENDEZAYO

UFALME WA MUNGU KWANZA

UFALME WA MUNGU KWANZA
 • TUNAPO UTAFUTA UFALME WA MUNGU KWANZA AU KUUPA KIPAUMBELE CHA KWANZA TUNAKUWA TUMEMPA MUNGU NAFASI YA KWANZA.
 • LIKA 18:28-30
 • ➤ FAIDA YA KUMWEKA MUNGU NAFASI YA KWANZA
 1. TUNAPATA VITU HATA AMBAVYO HATUKUOMBA
 2. TUNAZIDISHIWA VITU TUNAVYO VIHITAJI
 3. TUNAJULISHWA SIRI ZA MBINGUNI NA ZA HAPA DUNIANI
 4. TUNAKUWA NA UFAHAMU WA JUU SANA WA KUMJUA MUNGU
 5. TUNAPATA KIBALI POPOTE TUNAPO KWENDA
 6. TUNAKUWA WASHINDI WA MAMBO YA ROHONI NA MWILINI
 7. TUNAPEWA NAFASI YA JUU KI-HUDUMA NA MUNGU MWENYEWE
 8. TUNAPATA UZIMA WA MILELE
 9. TUNAPATA VITU VINGI VYA THAMANI KUTOKA KWA MUNGU MWENYEWE
 10. MACHO YETU YA KIROHO YANAKUWA YANAONA SANA
 11. TUNAPATA NAFASI YA KUWA MASHAHIDI WA MUNGU ALIYE HAI
 12. TUNAPATA NAFASI NA FURUSA YA UPENDELEO YA JUU SANA NA MUNGU
 13. MUNGU ANAKUWA ANATUPENDA KUTUTUMIA.

HUDUMA YA YOHANA MBATIZAJI

HUDUMA YA  YOHANA MBATIZAJI
 1. HUDUMA YAKE ILIKUWA NI MTENGENEZAJI WA NJIA WA BWANA YESU
 2. NDIYE ALIYE TAMBUA UJIO WA BWANA YESU
 3. HUDUMA YAKE ILIKUWA PIA MBATIZAJI WA MAJI 
 4. HUDUMA YAKE PIA ILIKUWA NI MWOMBAJI NA KUFUNGA SANA HUKO NYIKANI
 5. YOHANA NDIYE ALIYE ONA ROHO MTAKATIFU KAMA HUA AKISHUKA JUU YA YESU
 6. NDIYE ALIYE TANGAZA HUDUMA YA YESU CHRISTO KUWA NDIYE MCHUKUWA DHAMBI ZA ULIMWENGU
 7. NDIYE ALIYE TAMBUWA HUDUMA YA ROHO MTAKATIFU HAIZUILIKI NA MTU YEYOTE
 8. YOHANA MBATIZAJI NDIYE ALIYE KUWA AKIULIZA NJIA ALIYOTENGENEZA HUKO JE INAUZIMA KATIKA HUDUMA YA YESU
 9. YOHANA MBATIZAJI ALIHUBIRI INJILI HATA  GEREZANI 
 10. YOHANA MBATIZAJI ALITAMBULIKA KWA HERODE KUWA NI MTU WA HAKI
 11. KICHWA CHA YOHANA MBATIZAJI KILIKATWA NA KUPEWA BINTI HERODIA
 12.  YOHANA MWILI WAKE ULICHUKULIWA GEREZANI BAADA YA  KICHWA CHAKE KUKATWA NA KUZIKWA KABURINI
 13. YOHANA ALITANGULIA KABURINI KUNGOJA UFUFUO WA BWANA YESU TENE.
 14. SOMA MARKO 6:17

THAMANI YA UVUMILIVU MBELE ZA MUNGU

THAMANI YA UVUMILIVU MBELE ZA MUNGU
 •  YAKOBO 5:7-12
 1. UNAPATA VITU VYA THAMANI
 2. UNAVUNA KATIKA MISIMU YOTE YA MVUA YA KWANZA NA MVUA YA MWISHO
 3. MIOYO YETU INATHIBITIKA KWA MUNGU
 4. TUNAPATA JIBU MOJA TU KAMA NI NDIYO AU HAPANA
 5. TUNAKUWA WATU WA IMANI KUBWA NA KUMJUA MUNGU

SECRETE PLACE OF THE MOST HIGH

SECRETE PLACE OF THE MOST HIGH
 • Is the place of the rest of the soul where you are alone and you speak with GOD as JESUS do. He depart away and go to the mountain to pray himself the whole night.
 • is the perfect place of GOD speak with individual.
 • is the place of the soul satisfaction with all answer of the heart cry
 • is the place of full joy
 • is the place we call GOD and get answer
 • is the place where we stay long life and we satisfy
 • mathew 6:6 ,exodus24:18

HESHIMA YA KANISA

HESHIMA YA KANISA DUNIANI NI KUBEBA KUSUDI LA MUNGU DUNIANI
 • marko 11:1-10
 • luka 19:28-44
 1. TUNAONA PUNDA ALIANZA KUPANDA VIWANGO
 2. THAMANI YA PUNDA ILIPANDA
 3. PUNDA ALISHIRIKI BARAKA ZA YESU
 4. PUNDA ALITUSHIRIKISHA BARAKA ZAKE
 5. PUNDA ALILETA FAIDA KUBWA YA KUMBEBA YESU