Showing posts with label KUOMBA SAWASAWA NA MAPENZI YA MUNGU. Show all posts
Showing posts with label KUOMBA SAWASAWA NA MAPENZI YA MUNGU. Show all posts

KUOMBA SAWASAWA NA MAPENZI YA MUNGU

KUOMBA SAWASAWA NA MAPENZI YA MUNGU
 • 1YOHANA 5:14-15 & 1YOHANA 3:21-22
 • FAIDA YA KUOMBA SAWASAWA NA MAPENZI YA MUNGU
 1. MUNGU ANASIKIA MAOMBI YAKO
 2. MUNGU ANAKUMBUKA HAJA UIZOMWOMBA
 3. MUNGU ANAKUITA MWENYE HAKI
 4. UNAKUWA MTU WA KUTENDA MEMA MACHONI PA MUNGU
 5. UNAKUWA MTU WA UJASIRI WA KUDAI HAKI ZAKO
 6. TUNAKUWA WATU WA MIOYO MIKUU
 • MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUOMBA
 1. TUNAPOOMBA TUWE NA UJASIRI KWA MUNGU
 2. TUWE NA HAJA UNAZOMWOMBA
 3. MIOYO YETU ISITUHUKUMU
 4. TUZISHIKE AMRI ZA MUNGU
 5. TUDENDE MAMBO MACHONI PA MUNGU YAMPENDEZAYO