Showing posts with label WAKILI WA KRISTO. Show all posts
Showing posts with label WAKILI WA KRISTO. Show all posts

WAKILI WA KRISTO

WAKILI WA KRISTO
1WAKORINTHO 4:1-2
MAANA YA WAKILI
WAKILI -NI MTU ANAYE SIMAMIA MALI YA MTU MWINGINE
  1. MTUMISHI WA KRISTO NA MSIMAMIZI WA SIRI ZA MUNGU
  2. MKRISTO YOYOTE NI WAKILI WA MUNGU
  •  KANUNI ZA UWAKILI WA KRISTO
  1. ANATAKIWA KUFANYA MAPENZI YA MUNGU -1WAKOR 6:19-20
  2. ANATAKIWA ATOE HESABU YA UWAKILI MBELE ZA MUNGU -MATHAYO25:14-30

  • WAJIBU WA WAKILI
  1. KUJITOA KUTUMIKA KAMA WAKILI MWEMA-2WAKOR 8:1-8
  2. KUUKOMBOA WAKATI -LUKA 12:45-48