Showing posts with label KIDOLE CHA MUNGU. Show all posts
Showing posts with label KIDOLE CHA MUNGU. Show all posts

KIDOLE CHA MUNGU

KIDOLE CHA MUNGU
-Kidole cha Mungu ndio chenye mamlaka ya kipekee kwa yeyote anayempokeo Yesu Kristo kwamba ndiye mwokozi wa ulimwengu.

Sababu ya kidole
  • kinaleta uponyaji
  • kinaonya dhambi
  • kinamrudisha mtu katika mapenzi ya Mungu
  • kinanyosha kweli za injili
  • kinafunua yalio fichika
  • kinamwinua mtu kutoka hali ya chini na kumweka kwa wafalme
  • lakini ikiwa mimi natoa pepo kwa kidole cha MUNGU basi ufalme wa Mungu umekwisha kuwajilia [LUKA 11:20]