NJIA YA UTAKATIFU

NJIA YA UTAKATIFU
  • ISAYA35:8-10
  • IKO SEHEMU INAITWA NJIA KUU AMBAYO NI NJIA YA UTAKATIFU AMBAPO HAKUNA SIMBA,HAKUNA WANYAMA WAKALI BALI WAPO WALIOKOMBOLEWA NA DAMU YA MWANAKONDOO AMBAYE NI YESU KRISTO
  • KATIKA NJIA KUU BWANA AMEAHIDI KUWASHIKA MKONO WANAOMPENDA YEYE
  • NJIA KUU WANAPITA TU WATAKATIFU NA WALIO AMUA KUSAFIRI NA BWANA YESU
  • FAIDA YA KUWA NJIA YA UTAKATIFU
  1. UTAFIKA SAYUNI UKIIMBA
  2. FURAHA YA MILELE ITAKUWA JUU YA VICHWA VYETU
  3. TUTAPATA KICHEKO NA FURAHA
  4. HUZUNI NA KUUGUA ZITAKIMBIA