• NDANI YA MSAMAHA KUNA NGUVU ZA AJABU


  NDANI YA MSAMAHA KUNA NGUVU ZA AJABU
  • MARKO11:25
  • 2PETRO3:9
  • FAIDA YA MSAMAHA
  1. UNAPATA UJASIRI
  2. UNAPATA USHINDI
  3. UNAPATA UFUFUO WA MAMBO YALIYO FICHWA
  4. UNAPOKEA BARAKA ZAKO
  5. UNAPATA MSAMAHA NA MUNGU
  6. UNAPATA UPONYAJI
  7. UNAPATA UZIMA WA MILELE
  8. UNAMUONA MUNGU
  9. UNAKUWA NA AMANI NDANI YA ROHO YAKO
  10. UNAJENGEKA KATIKA PENDO LA MUNGU
  11. UNAKUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA MUNGU
  12. UNAJIBIWA MAOMBI YAKO HARAKA NA MUNGU