MAONO

MAONO
 • MITHALI29:18
 • MAONO-NI MIMBA,PICHA UNAYOIONA YA MAMBO UYATARAJIAYO YANAWEZA KUWA YA MUDA MFUPI AU MUDA MREFU.
 • KWENYE BIBLIA MUNGU ALIKUWA AKIWAULIZA MANABII WAKE UNAONA NINI?KAMA MARA SABA
 • KANUNI YA MAONO
 1. YANAPASWA YAWEKWE WAZI KILA MTU AYASOME
 2. MAONO LAZIMA YAAMBATANE NA IMANI
 3. MAONO ILIYATIMIE LAZIMA UWEKE MALENGO NA MIKAKATI
 4. LAZIMA MBEBA MAONO AWE NA JUHUDI 
 5. MBEBA MAONO LAZIMA AWE ANAYAOMBEA KILA SIKU.
 • VIKWAZO VYA MAONO
 1. UNAWEZA KUVUNJWA MOYO NA FAMILIA,KANISA NA PIA MARAFIKI UNAPOWAMBIA MAONO YAKO
 2. YANAWEZA KUCHELEWA PIA
 3. MBEBA MAONO MWENYEWE ANAWEZA ASIYATIMIZE KWA JINSI ANAVYO JIONA.