FAIDA YA NGUVU ZA MUNGU

FAIDA YA NGUVU ZA MUNGU
  • MATENDO 3:1-15
  1. ZINABADILISHA MTAZAMO WA FIKRA ZA MAISHA
  2. ZINAMWINUA MTU KUTOKA CHINI NA KUMKETISHA NA WAKUU
  3. ZINAMSAIDIA MTU KUINUKA NA KUANZA KUMSIFU MUNGU
  4. ZINAMSAIDIA MTU KWENDA MBELE ZAIDI
  5. ZINAMSAIDIA MTU KUWA MNYENYEKEVU SANA
  6. ZINAMWONDOLEA MTU HOFU NA KUMVIKA UJASIRI